Bars

Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)

80 - URANUSI: Sayari Iliyolala Upande Na Iliyosahaulika
Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
80 - URANUSI: Sayari Iliyolala Upande Na Iliyosahaulika
Unfavorite

Karibu kwenye podcast inayokupa maarifa ya teknolojia, sayansi na majibu ya maswali ya maisha kwa Kiswahili! Tunaangazia maendeleo ya kisasa, kuanzia akili unde yaani AI hadi ukubwa wa ulimwengu. Kila wiki, tunashirikisha uchambuzi wa habari za teknolojia, ufafanuzi wa dhana ngumu, na ushauri wa kivitendo. Jiunge nasi kupata elimu na burudani kupitia lugha yenye utajiri na asili ya Kiafrika. Kiswahili Kitukuzwe kwani ni lugha yetu na urithi wetu #TeknolojiaAfrika #SayansiKiswahili #AfrikaImara

Playlist

Więcej podcastów z gatunku: %(genre)s

  • Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
    80 - URANUSI: Sayari Iliyolala Upande Na Iliyosahaulika
    Thu, 03 Sep 2026
    Play
  • Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
    79 - Zohali - Sayari Mrembo Na Hatari
    Thu, 27 Aug 2026
    Play
  • Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
    78 - Mshtarii - Sayari Jitu
    Sun, 26 Jul 2026
    Play
  • Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
    77 - Mirihi - Sayari Yenye Uwezo Wa Kuwa Nyumba Ya Pili Ya Wanadamu
    Thu, 23 Jul 2026
    Play
  • Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
    76 - Zuhura - Sayari Iliyogeuka Kuzimu
    Tue, 21 Jul 2026
    Play
Pokaż więcej odcinków
Microphone

Więcej podcastów z gatunku: edukacja

Microphone

Więcej międzynarodowych podcastów z gatunku: edukacja